Welcome to BITCHAT !!! Invite More Friends to Earn More Rewards
1 y ·Translate

Mtihani wa Maisha

Mtoto: “Baba, maisha ni mtihani?”

Baba: “Ndiyo.”

Mtoto: “Na wewe ulifeli?”

🖊 Funzo:
Watoto husema ukweli… hata kama unauma.

#stori
#funzo
#tanzania

image